
Baada ya kutua bongo akitokea Oman ambako alikaa eda kwa muda mrefu baada ya msiba wa mume wake, hivi leo Wastara amejitokeza rasmi na kujichanganya na wanasherehe wenzake kusherekea kitchen party ya Frolah Mvungi siku ya jana.
Unaweza kumcheki kwenye picha hapo akijiachia pamoja na wasanii wenzake katika hatua ya upigaji picha kwenye sherehe hiyo.
No comments:
Post a Comment