msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Friday, December 05, 2014

hii ni filamu ya hapa mbeya inaitwa the ntale

AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!


AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!
  • AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!! 1
  • AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!! 2
  • AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!! 3
Japokuwa hadi sasa Muigizaji  Aunt Ezekiel Grayson anakanusha kuwa hana ujauzito, stori zake za kuwa na ujauzito zimezidi kuenea kwa kasi zaidi kwenye mitando ya kijamii na blogs mbalimbali za hapa BONGO.
Hii nikutokana na kuonekaana kwenye Klabu ya New Maisha iliyopo Masaki jijini Dar, Jumapili iliyopita akiwa ameshiba yaani kitumbo ndi huku akishindwa kukificha baada ya kila kitu kuonekana waziwazi kwa macho yasiyohitaki miwani.
KIGAUNI CHAANIKA KILA KITU                                     
Aunt, akiwa ukumbini humo na mastaa wenzake waliohudhuria kwenye shoo ya msanii wa Bongo Fleva aitwaye Mirrow anayesimamiwa na kampuni ya muigizaji, Wema Isaac Sepetu na Meneja Petit Man, alitinga akiwa amevaa kigauni cha drafti nyeupe na nyeusi ambacho kilionesha vilivyo tumbo lake.

AUNT ANASEMA AKANUSHA
Kwamujibu wa Global Publishers.info, Aunt  Ezekiel alikanusha na kusisitiza kuwa ni aina ya magauni anayovaa ndiyo yanayomuonesha na kitumbo lakini hana mimba.
“Sina huo ujauzito, labda ni kwa sababu ya aina ya magauni ninayovaa,” alisema Aunt kwa kifupi.

ALICHO-POST INSTAGRAM
Jana kupitia ukurasa wake wa instagram,Aunt Ezekiel aliweka picha yake akiwa tumbo wazi na kuandika ujume kuwa lazima tujue kutofautisha kati ya mimba na kitambi
Lazima ujue Kutofautisha kati ya Kitambi na Mimba Sasa hiki Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!!legoooooooooo......

STAA WA KESHO: Mcheki mtoto wa Kajala, Azidi Kuwa Mrembo

STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo
  • STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo 1
  • STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo 2
Mtoto wa  msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaonekana amekuwa binti mkubwa  na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk  aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikio makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu mastaa wengi bali hadi kwa jamii kwa ujumla…..Tunaamini huyu nae atakuwa staa wa kesho

Thursday, February 06, 2014

Johari avuta usafiri mpyaa

Johari avuta usafiri mpyaa, ni kitu cha mark X,Mastaa wampongeza Tazama picha hapa za mkoko huo hapa

 

 Mwaka 2014 umeanza vizuri kwa mwanadada Johari Chagula baada ya hivi karibuni kuvuta usafiri mpya kabisa aina ya Mark X ambayo thamani yake inasemekana kuwa zaidi ya Tshs. Millioni 25 za kibongo.

Tuesday, January 14, 2014

MUHIMU SANA!



MUHIMU SANA! Mpigie kura Juma Rajab Rashid a.k.a Cheche ili aweze kushinda tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume kwenye Tamthilia kwa kutuma ujumbe mfupi kwenda namba +2783142100415 au kwenye mtandao- huu http://goo.gl/o72lu5 ! Kumbuka kuwa unaweza kupiga kura mara nyingi zaidi kila baada ya saa moja. Umoja wetu ni Ushindi kwa Mtanzania mwenzetu. Mwabie na Mwezako. Cha nyumbani kwanza!!!






Actor in a Drama
The AfricaMagic Viewers' Choice Awards feature several special categories in which viewers will decide the winners directly.
VOTE FOR JUMA RAJAB RASHID

You can vote once per hour per category on the website and again once per hour per category on the mobile site. Just by voting you will be entered into a draw to win awesome prizes. Voting closes at midnight CAT on 3rd March 2014.
WEB 
Login
SMS 
2ato +2783142100415
 @NULL  @NULL
The AfricaMagic Viewers' Choice Awards celebrate and recognise the people who are giving so much of their talent and creativity to ensuring the popularity and evolution of African film and TV.