msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Friday, December 05, 2014

STAA WA KESHO: Mcheki mtoto wa Kajala, Azidi Kuwa Mrembo

STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo
  • STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo 1
  • STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo 2
Mtoto wa  msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaonekana amekuwa binti mkubwa  na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk  aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikio makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu mastaa wengi bali hadi kwa jamii kwa ujumla…..Tunaamini huyu nae atakuwa staa wa kesho

No comments:

Post a Comment