msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Wednesday, December 04, 2013

MKE WA JB NDIYO HUYU HAPA..!! TAZAMA PICHA HAPA..!!



Katika pita pita mtandaoni tumekutana na picha hizi za JB akiwa ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na kuonyesha ni jinsi gani anajivunia kuoa na kuwa na mke mzuri kama huyu. Tazama picha hapo chini uone ni jinsi gani jamaa anajiamini na anampenda mke wake na haoni shida kumuweka mtandaoni ili mashabiki zake wamfahamu shemeji na wifi yao.

No comments:

Post a Comment