msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Friday, June 28, 2013

MAMA NATASHA ANAKARIBIA KUOLEWA.. HII ILIKUWA KITCHEN PARTY YAKE..


Tushazoea kuona mama anasherekea harusi ya mwanae na kuwa busy kwenye sendoff na kitchen party hadi harusi yenyewe. This time around ni kinyume and  it’s all good…Monalisa na mashoga wengine wanasherekea na kusubilia kwa hamu siku ambayo Mama Natasha atakapo funga ndoa. Kwa mara ya kwanza hii story tulikupa nuznuz hothot hapahapa na picha yake jinsi Mama Natahs akivishwa pete na wengi walijua ni maigizo…sasa kitchen party imefanyika huko Tandika na soon Mama Natasha ataolewa kwa ndoa kabisa mbele ya marafiki,fans na ndugu zake bila kusahau wanae. Best wishes kwenye maisha mapya ya Mama Natasha.

NATASHAAFUNDWA1
NATASHAAFUNDWA2
NATASHAAFUNDWA3

No comments:

Post a Comment