msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Thursday, June 27, 2013

IRENE UWOYA AJICHORA TATOO YA MWANAYE


IRENE UWOYA

KRISH
mtoto wa uwoya
Best actress wa Steps Bongomovie awards Irene Uwoya ambaye ni mama wa mtoto mmoja alimpata na mme wake Ndikumana, na mtoto huyo kupewa jina la Krish. Mapenzi ya mama kwa mtoto ni zaidi ya vile anavyompenda baba wa mtoto huyu si ndio. Basi Irene Uwoya na yeye kachora tatoo ya jina la mwanae Krish nyuma ya bega lake. Irene Uwoya hana tatoo ya jina la mme wake..yep ndiyo..mapenzi ya mtoto yanaanza kwanza kwa wakina mama wote sio Irene peke yake..Krish mwenyewe haishiwi na smile kama unavyomuona hapo chini

No comments:

Post a Comment