msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Sunday, June 02, 2013

FLORA MVUNGI AFANYIWA KITCHEN PARTY



2
Mwenyewe anasema kwamba role model wao na mchumba wake H Baba ni Kim Kardashian na Kanye West. Kila kitu ambacho Kim na Kanye wanafanya na wao wanafuata..mfano mdogo ni pale Kanye alinvyomvisha pete Kim K..H baba na yeye akamvisha pete Flora Mvungi. Baadaye  Kim K akapata mimba na Florah  akafuatia..lakini this time Florah na H baba wanajiandaa kufunga ndoa, upande wa pili wa Kim K na Kanye hatujaskia chochote.
Kitu kikubwa jana  Florah Mvungi amefanyiwa  Kitchen Party tayari kwa ajili ya kufunga ndoa na mchumba wake H baba. Bila shakandani ya muda mfupi watakuwa Mr and Mrs..
16

No comments:

Post a Comment