
Cloud 112 mkali toka kitambo kwenye maigizo hadi leo hii anasimamia na kusimama kama leading actor kwenye kampuni yake binafsi CY & CL Company akitoa movie zake mwenyewe. Muigizaji bora ni yule anayweza kupiga scene mbalimbali akiwa amevaa uhusika tofauti,movie moja yuko serious na nyingine kawa chizi.

This tym around Cloud 112 yupo tayari na kazi yake“SELO”kuwaonyesha watanzania kwamba hata kwenye comedy yuko
No comments:
Post a Comment