msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Saturday, June 01, 2013

UNAMKUMBUKA KIBAKURI NA UNAFAHAMU YUPO WAPI SASA HUYU HAPA




DSC00429
Unamkubuka jamaa anaitwa Sadiki Mberwa maarufu kama Kibakuli, alikuwa staa kwenye maigizo ya Kaolekama mtoto mnoko wa Muhogo mchungu ambaye anajua kama baba yake ana nyumba nje lakini hamwambii mama yake mzazi. Mwisho wa siku na yeye anakuja kumtaka kimapenzi mama yake mdogo.

Kikubwa kilichokuwa kinamtamburisha Kibakuli ulikuwa ubonge wake, tofauti na sasa amekuwa mwembamba na amekuwa mtu mzima. Kibakuli alianza kuigiza kwenye miaka ya 1999 yupo darasa la sita wakati akiwa na Nyamayao ambaye alikuwa anaigiza kama dada yake. Hivi sasa Kibakuli ni soundman wa Landline Production na soon atarudi tena mbele ya camera

No comments:

Post a Comment