msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Friday, June 28, 2013

SHAMSA FORD AIKATAA NDOA…ADAI ITAMSHINDA


SHAMSA

Akizungumzas, Shamsa alisema amekuwa akitamani kuishi bila ya mwanaume tofauti na anavyoishi na mchumba wake wa muda mrefu, Dick.
“Yaani sikufichi kabisa, najuta kwa nini nilikimbilia kuishi na mwanaume kabla ya kufunga ndoa maana hivi sasa nimeshachoka na natamani kuishi peke yangu,” alisema.
Kutokana na hali hiyo, msanii huyo amesema ndiyo maana amekuwa akikwepa kufunga ndoa na mwanaume huyo aliyezaa naye mtoto mmoja kutokana na kuchoka kuishi pamoja kwa kuhofia misukosuko ya ndoa.
“Naogopa hata kufunga ndoa kwa kuwa nimeshachoka kuishi na mwanaume, sasa nikifunga ndoa naona kama vile itanishinda mapema,” alisema Shamsa.

No comments:

Post a Comment