
Ikiwa ni katika hatua za urasimishaji wa tasnia ya bongomovie, serikali imeshatoa tamko ya kwamba ikifika Julai mosi. Hautakuwa na DVD yoyote ambayo itaruhusiwa kuingia mtaani kufanya mauzo kama haina stamp ya TRA.Hatua hizi ni katika kile ambacho wasanii wamejaribu mida mrefu kukipigani katika kulinda haki yao ya msingi hasa linapokuja swala la piracy. Mategemeo ya wasanii wengi ni ishu hii ya stika kusaidia kwa upande huo lakin inaonekana wazi kuwa bado nguvu za ziada zitaitajika.
Jumatatu ya leo 3/6 pale BASATA kutakuwa na forum kwa ajili ya kuzungumzia swala hili ambapo wadau mbalimbali wa movie,wasambazaji na serikali watakuwepo.
No comments:
Post a Comment