msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Sunday, May 26, 2013

WASTARA KUTUA BONGO WIKI IJAYO




Wastara-Juma-534
Baada ya kukaa eda huko Oman kwa baba yake na babu yake unafikiri Wastara anakuja na nini tena?.  Jibu la swali hili na mengine mengi utayapata wiki ijayo ambapo baada ya kufika tu utapata kusoma vitu kutoka kwa Wastara mwenyewe ambavyo haujaviskia kokote pale. Kwanza jua kwamba Wastara alivyofika Oman tu, hakutoka nje na alikaa ndani kwa muda mrefu ikiwa ndiyo kipindi cha eda baadaya kufikwa na mme wake. Sasa baada ya kumaliza hizo siku Wastara anarudi Tanzania wiki ijayo na mastori mengine kibao kuhusiana kiwanda cha bongomovie kule Oman na nchi za jirani mambo yako vipi. Mkali wa bongomovietz.com kashapa story na Wastara straight akiwa pande zile, kuna mengi ya kuskia kutoka kwake. 

No comments:

Post a Comment