msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Sunday, May 26, 2013

PASTAR MYAMBA KUFUNGUA TAWI LA CHUO CHA SANAA MBEYA


















Emmanuel myamba maarufu kama pastar myamba amesema yupo tayari kufungua tawi la chuo cha mafunzo ya filamu mkoani mbeya ikiwa wasnii wa mbeya wataonyesha nia jambo lililozua shangwe kwa wasanii wengi wa filamu mkoani mbeya 
Myamba ameyasema hayo juzi wakati wa mkutano wa shirikisho la filamu mbeya na wageni ambao ni uongozi wa shirikisho la filamu Tanzania chini ya raisi wa shirikisho hilo simon mwakifamba 

No comments:

Post a Comment