msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Wednesday, May 22, 2013

ODAMA ATOA MANENO KUHUSU MOVIE YAKE MPYA


Maneno ya Odama kutoka kwenye facebook page yake baada ya ku-post cover la movie yake mpya -Kampuni ya J-FILM 4 LIFE inakuletea filamu mpya ya kipekee na ya kusisimua itakayojulikana kwa jina la “Witch Doctor”,,,,,, kutokana na maoni ya wadau wangu wengi nimewaletea filamu hii ya kitofauti kabisa kwani mimi na crew yangu tunathamini uwepo wa maoni yenu…… Nawapenda wote!!!!

312221_526874500702585_550526363_n

No comments:

Post a Comment