
TAFADHALI TAMBUA: Habari hizi zinaripotiwa na baadhi ya wananchi walioko Mtwara. Hazijathibitishwa hivyo zitumie kama muongozo tu, na si kama habari za uhakika
Hadi kufikia saa (3:00 pm) kuna taarifa kwamba ofisiza CCM (maeneo ya Mdenganamadi na Majengo) zimechomwa moto; askari wanne wameuawa pamoja na wananchi kadhaa. Wananchi wanatumia baruti za kulipulia samaki kuwalipua majengo na askari.Hatari iliyopo ni kuchomwa kwa jengo la ofisi za mkuu wa mkoa. Yote haya ni.
kupinga bomba la gesi kujengwa kuelekea DSM
kupinga bomba la gesi kujengwa kuelekea DSM
No comments:
Post a Comment