msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Tuesday, January 14, 2014

NI MASIKITIKO MAKUBWA BAADA YA KUNDI LA MAPINDUZI ARTS GROUP KUONDOKEWA NA MSANII




Kundi la sanaa ya uigizaji limepata pigo kubwa baada ya msanii wao Sharifa Ally kuaga dunia siku ya tarehe 14/1/2014 katika Hospitali ya mkoa Mbeya  
Msanii huyu aliwahi shiriki katika kazi kadhaa za sanaa za kundi hili alishiriki katika filamu iitwayo HATES  akiwa ka mhudumu wa afya pia katika filamu iitwayo "I KILLED FOR LOVE

PUMZIKA KWA AMANI MPENDWA WETU  MUNGU ALITOA MUNGU AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

No comments:

Post a Comment