
Ustaadh akiwa anamswalia Marehemu Kashi Kinondoni Muslim






Jacqueline Wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi

Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi

Kitale na wasanii wenzake

Msanii wa bongo movie Big

Msanii wa movie akilia kwa uchungu

Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi

Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake nyumbani kwa marehemu Kashi.

Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na manager wake.

Mwigizaji wa TamdhiLia ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazish

Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim

Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia

Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi

Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba

Shughuli ya mazishi inaendelea

Wamama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.

Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi

Wadau mbalimbali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim

Wasanii wa movie Tanzania kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo

Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa marehemu Kashi
No comments:
Post a Comment