Kajala Masanja ametumia muda wake siku kadhaa zilizopota akiwa Mwanza kwa kwenda kanisani na kuchil na masister wa hapo kanisani, Kajala pia alienda kwenye sanamu ya bikira maria na kupiga picha kama waumini wengi wa kanisa katoriki wanayofanyaga. Picha nyingine inamuonyesha Kajala akinywa maji ambayo aliandika caption kwamba ni maji ya baraka. It’s a good life kwa Kajala kwasababu kanisani ni sehemu moja wapo ya kujipatia peace of mind na kuendelea na maisha yake ya kawaida.
No comments:
Post a Comment