msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Friday, June 21, 2013

JACK ANASWA AKIWA HAJAVAA CHUPI



MSANII wa filamu aliyetokea kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi maungo yakei.
Tukio hilo lilinaswa  ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro,Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.
Akiwa ukumbini hapo, mwanadashosti huyo aliyeonekana kula kilevi cha bei mbaya, alikuwa akiwatoa udenda wanaume kutokana na kigauni chake hicho kifupi hadi wengine kufikia hatua ya kumchana kuwa, alijichoresha kwa kutovaa ‘kufuli’.
“Huyu naye! Ndo nini sasa kutovaa kufuli kwenye kadamnasi? Wasanii wetu bwana,” alisikika kijana mmoja mwenye uchu huku Jack akionesha kutojali.

No comments:

Post a Comment