TATHNIA NZIMA YA FILAMU STORY ZA WASNII WA FILAMU UTAVIFAHAMU KUPITIA HAPA seckozegreat.blogspot.com
Tuesday, June 04, 2013
HAPPINESS MAGESSE AMALIZA ELIMU YA FILAMU
Miss Tanzania aliyemaliza muda wake miaka mingi iliyopita na kuingia kwenye fani ya mitindo ilimpeleka hadi Marekani kuendelea kufanya kazi hizo..siku kadhaa zilizopita alihitimu masomo yake kwenye ishu za filamu huko NewYork at NewYork Film academy. According to maneno ya Happiness Magesse anasema kwamba alikuwa na ndoto na ishu za filamu kwa muda mrefu sana, So, ishu ya yeye kumaliza masomo yaliyomuongezea ujuzi wa shule kwenye mambo ya filamu,,utamfanya afanye vizuri zaidi. We hope atauleta huo ujuzi wake kwenye bongomovie pia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment