POLE KWA DUDE KUFIWA NA MAMA YAKE
Msanii wa bongomovie Kulwa Kikumbe maarufu kama Dude, ljana hii amefiwa na mama yake mzazi., tunampa pole Dude na familia yake kwa ujumla.
Haya ni maneno ya Dude baada ya mama yake kufariki.
Nashkuru kwa woote walionifariji na kunipa pole kwa kufiwa na mamaangu mzazi, ukweli ni siku ngumu sana kwangu maishani, ukiacha kifo cha baba mamaangu kaniuma zaidi, kwanza roho yake imemalizikia nikiwa nimempakata kwenye gari, MUNGU ANIPE NGUVU na amlaze peponi mtu niliyempenda kuliko wote hapa ulimwenguni,muombeeni duwa mamaangu picha yake hiyo
No comments:
Post a Comment