msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Tuesday, October 08, 2013

ETI KANUMBA ALIONDOKA NA SOKO LA FILAMU


Ni moja kati ya maswali magumu sana kwani tangu huyu jamaa aage dunia soko la filamu limekuwa gumu pia Matamasha au warsha zinazohusu Filamu ni jambo ambalo ni adimu au halizungumzwi kama ilivyokuwa enzi ya uhai wa Steven Kanumba 
Au tuamini kwamba steven kanumba alikuwa ndio AMITAH BATCHAN wa BONGO MOVIE au alikuwa na kipaji cha kuzaliwa au ndio tuamini zile imani au ndio ubunifu ulikoma baada ya kifo chake 

No comments:

Post a Comment