msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Saturday, October 05, 2013

AUNT EZEKIEL ANASWA MSIKITINI






PICHA inayomuonesha mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti wa tatu kwa ukubwa nchini Dubai, Al Farooq imenaswa.
Aunt ezekeiel akiwa msikitini

Chanzo kilichopo Dubai kimeeleza kuwa, Aunt aliondoka nchini wiki mbili zilizopita kwenda nchini humo kumtembelea mume wake, Sunday Demonte ndipo alipoamua kwenda katika msikiti huo lakini alionekana mwenye mawazo sana.
“Nilimuona akiwa ni mtu ambaye alikuwa hana furaha kabisa na mara baada ya kutoka msikitini hapo, dada mmoja ambaye alikuwa naye alikuwa akimpiga picha mbalimbali nje ya msikiti huo,” kilisema chanzo

No comments:

Post a Comment