msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Thursday, October 17, 2013

MAANDALIZI YA MECHI YA TAREHE 2.11.2013 YAMEPAMBA MOTO



Maandalizi ya mechi kali kati ya kituo cha Radio MBEYA HIGHLANDS FM  na LUGOMBO fc kutoka TUKUYU yamepamba moto pande zote mbili kwaajili ya mechi kali ya tarehe 2.11.2013
Kwa upande wa HIGHLANDS FM wachezaji wote wakiongozwa na DIZZO wamejipanga kuhakikisha hawaendi TUKUYU  kula ndizi bali wanaenda TUKUYU kucheza mpira na kurudi na ushindi

chanty na dizzo
namba 7 secko ze great

No comments:

Post a Comment