msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Friday, September 20, 2013

TAMASHA LA FILAMU DAR LAZIDI KUWA GUMZO



Filamu Tanzania inakua kwa kasi sana kila kunapokucha lakini pengine ni tasnia pekee ambayo imekuwa na changamoto nyingi, na sintofahamu kwani ndio tasnia ambayo imekosa mtiririko wa matukio ambayo huwa kama motisha kwa wadau na wasanii wa filamu kwa muda mrefu tasnia ya filamu hakuna tuzo zozote takribani miaka sita zilipofanyika tuzo za Vinara 2007-2008.
Hivi karibuni tamasha kubwa la filamu limezinduliwa na linatarajia kufanyika kuanza tarehe 24 hadi 26 Septemba 2013 katika viwanja vya  Posta Kijitonyama Tamasha litaambatana utoaji wa Semina kwa wadau wa filamu, kuonesha filamu za Kitanzania kwa watu wote bure kwa siku tatu,Kutakua na filamu nne kwa siku kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa tano usiku.

No comments:

Post a Comment