msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Tuesday, September 10, 2013

WEMA SEPETU KUMBE NI MKALI WA KUZUNGUSHA ‘NYONGA’?



WEMA

Msanii wa filamu Wema Sepetu hivi karibuni baada ya kutoka kushuhudia uzinduzi wa filamu ya foolish age iliyoandaliwa na msanii wa filamu Lulu, Wema alidhihirisha kuwa yeye ni mkali wa kuzungusha nyonga.
Ukali huo aliuonesha katika ukumbi wa Thai Village, Masaki jijini Dar baada ya kusikia sebene lililokuwa likiporomoshwa na bendi ya Skylight

No comments:

Post a Comment