msimu wa burudani Highlands fm 92.7

msimu wa burudani Highlands fm 92.7

Wednesday, September 25, 2013

NDOTO ZA LULU ZINANICHEKESHA MNOOO

 

STAA wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael'Lulu'ameonyesha kuwa ana mapenzi ya dhati kwa mwanamuziki asiyeisha vituko wa nchini Marekani Justin Beaber,baada ya kupost picha inayomuonyesha kuwa mwanamuziki huyo amebeba picha ya Lulu.
Baadhi ya mashabiki walitoa maoni yao huku wengine wakimpa moyo wakimwambia kuwa dreams come true na wengine wakimvunja moyo kwa kumwambia haiji kutokea.


Huku Lulu akiandika Utani wote tufanyeni...lkn huu...tutatoana roho jmn!!!kha

No comments:

Post a Comment