Cover ndiyo kitu cha kwanza kumvutia mnunuzi wa movie hata kabla hajaiona trailer ya movie au kusoma intro ya story ya movie kwenye cover. Sasa inakuaje waandaji wa movie wanashinda kutafuta picha mpya ya muigizaji mkubwa kama JB kwa ajili ya cover ya movie. Picha hii ya JB akiwa amevaa mawani na koti ya kaki, kwa mara ya kwanza ilitumika kwenye movie ya Lerato, baadaye ikatumika kwenye movie ya I think I hate my wife…leo tena wameitumia picha hiyo hiyo kwenye movie ya Innocent Case.Na inawezekana ikatumika katika muvie nyingine nyingi zijazo
TATHNIA NZIMA YA FILAMU STORY ZA WASNII WA FILAMU UTAVIFAHAMU KUPITIA HAPA seckozegreat.blogspot.com
Friday, May 10, 2013
PICHA YA MKALI WA BONGO MUVIE JB KUTUMIKA KATIKA COVER ZA MUVIE 3 NINI MAANA YAKE?
Cover ndiyo kitu cha kwanza kumvutia mnunuzi wa movie hata kabla hajaiona trailer ya movie au kusoma intro ya story ya movie kwenye cover. Sasa inakuaje waandaji wa movie wanashinda kutafuta picha mpya ya muigizaji mkubwa kama JB kwa ajili ya cover ya movie. Picha hii ya JB akiwa amevaa mawani na koti ya kaki, kwa mara ya kwanza ilitumika kwenye movie ya Lerato, baadaye ikatumika kwenye movie ya I think I hate my wife…leo tena wameitumia picha hiyo hiyo kwenye movie ya Innocent Case.Na inawezekana ikatumika katika muvie nyingine nyingi zijazo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment