Mwigizajisuper kutokaNollywood (Nigeria), Omotola Jalade Ekeinde na nyota, Halle Berry wote wameamua kupigana kwa ajili ya kusaidia wanawake wenye matatizo ya saratani ya matiti. pamoja na wengine wengi, walikwenda kusaidia wanawake wenye saratani ya matiti.
Ilikuwa hivi karibuni walionekaonekana Los Angeles, Marekani, ambapo waowalijiingiza katika kutembea kufanya kampeni kimyakimya jinsi ugonjwa huo unavyopoteza wanawake wengi
Tukio hilo liliandaliwa na Revlon EIF Run / kisha Kutembeleaa Wanawake wenye matatizo hayo. Shirikahili ni maalumu kwa ajili ya kuongeza fedha kwa ajili ya wanawake wanasumbuliwa na saratani ya matiti.
Matembezi hayo yalikuwa na lengo la kuongeza uelewa, utafiti, kuelimisha na kutoa huduma za matibabu uchunguzi juu ya saratani ya matiti.
No comments:
Post a Comment