Kwa wote walioguswa na kuumwa kwa nguli wa sanaa za maigizo hapa nchini, Mzee Small, taarifa ni kuwa amepata nafuu na anatembea japo kwa fimbo ingawa mkono wake bado umelemaa.
Changamoto kubwa kwake ni dawa za kuchua, takribani 30,000/= kwa mwezi pamoja dawa za kusaidia kuyeyusha damu iligundulika kuganda kichwani mwake, takribani 50,000/= kwa mwezi pamoja na mengineyo madogo madogo, ANAWASHUKURU SANA WOTE MNAOGUSWA NA KUMJALI, Kwa msaada wowote tafadhali wasiliana na mkewe, 0658111311.
Angalizo; Tusisubiri matatizo makubwa yatokee ndipo tuwe wa kwanza kuzungumza maneno mengi mazuri .Nadhani wote ni mashahidi juu ya yale yaliyotokea baada ya kufariki kwa bi kidude
Angalizo; Tusisubiri matatizo makubwa yatokee ndipo tuwe wa kwanza kuzungumza maneno mengi mazuri .Nadhani wote ni mashahidi juu ya yale yaliyotokea baada ya kufariki kwa bi kidude
No comments:
Post a Comment